Mark 14:17-18

17 aIlipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. 18 bWalipoketi mezani wakila, Isa akawaambia, “Amin, nawaambia, mmoja wenu atanisaliti, mmoja anayekula pamoja nami.”

Copyright information for SwhKC